Yeremia 50:18 BHN

18 Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi: Nitamwadhibu mfalme wa Babuloni na nchi yake, kama nilivyomwadhibu mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:18 katika mazingira