19 Nitawarudisha Waisraeli nchini mwao, nao watakula mavuno yatakayolimwa juu ya mlima Karmeli na Bashani na watatosheka kwa chakula kutoka milima ya Efraimu na Gileadi.
Kusoma sura kamili Yeremia 50
Mtazamo Yeremia 50:19 katika mazingira