Yeremia 50:23 BHN

23 Jinsi gani huo mji uliokuwa nyundo ya dunia nzimaunavyoangushwa chini na kuvunjika!Babuloni umekuwa kinyaamiongoni mwa mataifa!

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:23 katika mazingira