24 Ewe Babuloni, nilikutegea mtego ukanaswa,wala hukujua juu yake;ulipatikana, ukakamatwa,kwa sababu ulishindana nami Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Yeremia 50
Mtazamo Yeremia 50:24 katika mazingira