Yeremia 50:7 BHN

7 Watu wote waliowakuta waliwaua, na maadui zao wamesema, ‘Hatuna hatia sisi’, maana hao wamemkosea Mwenyezi-Mungu aliye malisho yao ya kweli; Mwenyezi-Mungu ambaye ni tegemeo la wazee wao!

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:7 katika mazingira