Yeremia 50:6 BHN

6 “Watu wangu walikuwa kondoo waliopotea; wachungaji wao wamewapotosha, wakawageuza kuelekea milimani; walitembea toka mlima hadi kilima, wakasahau zizi lao.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:6 katika mazingira