5 Watauliza njia ya kwenda Siyoni, huku nyuso zao zimeelekea huko, wakisema, ‘Njoni!’ Nao watajiunga na Mwenyezi-Mungu katika agano la milele ambalo kamwe halitasahauliwa.
Kusoma sura kamili Yeremia 50
Mtazamo Yeremia 50:5 katika mazingira