4 “Siku hizo na wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, watu wa Israeli na watu wa Yuda watakusanyika pamoja na kurudi wakilia huku wananitafuta mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Kusoma sura kamili Yeremia 50
Mtazamo Yeremia 50:4 katika mazingira