Yeremia 51:12 BHN

12 Twekeni bendera ya vitakushambulia kuta za Babuloni.Imarisheni ulinzi;wekeni walinzi;tayarisheni mashambulizi.Mwenyezi-Mungu amepanga na kutekelezamambo aliyosema juu ya wakazi wa Babuloni.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:12 katika mazingira