Yeremia 51:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu amezichochea roho za wafalme wa Media, kwa maana amenuia kuiangamiza Babuloni. Naam, hicho ndicho kisasi cha Mwenyezi-Mungu; analipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.Noeni mishale yenu!Chukueni ngao!

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:11 katika mazingira