Yeremia 51:10 BHN

10 Mwenyezi-Mungu amethibitisha kuwa hatuna hatia.Twendeni Siyoni tukatangazematendo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:10 katika mazingira