Yeremia 51:9 BHN

9 Tulijaribu kuuponya Babuloni,lakini hauwezi kuponywa.Uacheni, twendeni zetu,kila mmoja katika nchi yake,maana hukumu yake ni kuu mnoimeinuka mpaka mawinguni.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:9 katika mazingira