Yeremia 51:2 BHN

2 Nitawapeleka wapepetaji Babuloni,nao watampepeta;watamaliza kila kitu katika nchi yakewatakapofika kuishambulia toka kila upandewakati wa maangamizi yake.”

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:2 katika mazingira