Yeremia 51:3 BHN

3 Usiwape nafasi wapiga mshale wa Babuloni;usiwaache wavute upinde,wala kuvaa mavazi yao ya vita.Usiwahurumie vijana wake;liangamize kabisa jeshi lake.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:3 katika mazingira