Yeremia 51:30 BHN

30 Askari wa Babuloni wameshindwa kupigana,wamebaki katika ngome zao;nguvu zao zimewaishia,wamekuwa kama wanawake.Nyumba za Babuloni zimechomwa moto,malango yake ya chuma yamevunjwa.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:30 katika mazingira