Yeremia 51:31 BHN

31 Tarishi baada ya tarishi wanapiga mbio,mjumbe mmoja anamfuata mjumbe mwingine,kumpasha habari mfalme wa Babulonikwamba mji wake umevamiwa kila upande.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:31 katika mazingira