Yeremia 51:34 BHN

34 Mfalme Nebukadneza wa Babulonialiuharibu na kuuponda mji wa Yerusalemualiuacha kama chungu kitupu;aliumeza kama joka.Alijaza tumbo lake vitu vyake vizurivizuri,akautupilia mbali kama matapishi.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:34 katika mazingira