Yeremia 51:55 BHN

55 Maana mimi Mwenyezi-Mungu naiangamiza Babuloni,na kuikomesha kelele yake kubwa.Adui ananguruma kama mawimbi ya maji mengi,sauti ya kishindo chao inaongezeka.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:55 katika mazingira