Yeremia 51:56 BHN

56 Naam, mwangamizi anaijia Babuloni;askari wake wametekwa,pinde zao zimevunjwavunjwa.Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu,hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:56 katika mazingira