57 Nitawalewesha wakuu na wenye hekima wake,watawala wake, madiwani na askari wake;watalala usingizi wa milele wasiinuke tena.Nasema mimi mfalme ambaye jina langu ni Mwenyezi-Mungu wa Majeshi.
Kusoma sura kamili Yeremia 51
Mtazamo Yeremia 51:57 katika mazingira