Yeremia 51:58 BHN

58 “Mimi Mwenyezi-Mungu wa Majeshi nasema:Ukuta mpana wa Babuloniutabomolewa mpaka chini,na malango yake marefuyatateketezwa kwa moto.Watu wanafanya juhudi za bure,mataifa yanajichosha maana mwisho wao ni motoni!”

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:58 katika mazingira