Yeremia 51:6 BHN

6 Kimbieni kutoka Babuloni,kila mtu na ayaokoe maisha yake!Msiangamizwe katika adhabu yake,maana huu ndio wakati wa Mungu wa kulipa kisasi,anaiadhibu Babuloni kama inavyostahili.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:6 katika mazingira