Yeremia 51:7 BHN

7 Babuloni ilikuwa kikombe cha dhahabumkononi mwa Mwenyezi-Mungu,ambacho kiliilewesha dunia nzima.Mataifa yalikunywa divai yake,hata yakapatwa wazimu.

Kusoma sura kamili Yeremia 51

Mtazamo Yeremia 51:7 katika mazingira