Yeremia 6:11 BHN

11 Nimejaa hasira ya Mwenyezi-Mungu dhidi yao.Nashindwa kuizuia ndani yangu.Mwenyezi-Mungu akaniambia:“Imwage hasira barabarani juu ya watotona pia juu ya makundi ya vijana;wote, mume na mke watachukuliwa,kadhalika na wazee na wakongwe.

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:11 katika mazingira