Yeremia 6:12 BHN

12 Nyumba zao zitapewa watu wengine,kadhalika na mashamba yao na wake zao;maana nitaunyosha mkono wangu,kuwaadhibu wakazi wa nchi hii.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:12 katika mazingira