Yeremia 6:15 BHN

15 Je, waliona aibu walipofanya machukizo hayo?La! Hawakuona aibu hata kidogo.Hawakujua hata namna ya kuona aibu.Kwa hiyo wataanguka pamoja na wale waangukao;wakati nitakapowaadhibu,wataangamizwa kabisa.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:15 katika mazingira