20 Ya nini kuniletea ubani kutoka Sheba,na udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali?Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki,wala tambiko zenu hazinipendezi.
Kusoma sura kamili Yeremia 6
Mtazamo Yeremia 6:20 katika mazingira