Yeremia 6:21 BHN

21 Kwa hiyo mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Tazama, nitawawekea watu hawa vikwazoambavyo vitawakwaza na kuwaangusha chini.Akina baba na watoto wao wa kiume wataangamia,kadhalika na majirani na marafiki.”

Kusoma sura kamili Yeremia 6

Mtazamo Yeremia 6:21 katika mazingira