Yeremia 7:28 BHN

28 Utawaambia; ‘Nyinyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wala kukubali kuwa na nidhamu. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika maneno yenu.’

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:28 katika mazingira