Yeremia 7:29 BHN

29 “Nyoeni nywele zenu enyi wakazi wa Yerusalemu, mzitupe;fanyeni maombolezo juu ya vilele vya milima,maana, mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa nyinyi,mlio kizazi kilichosababisha hasira yangu!

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:29 katika mazingira