Yeremia 7:30 BHN

30 “Watu wa Yuda wametenda uovu mbele yangu. Wameweka vinyago vyao vya kuchukiza ndani ya nyumba hii ijulikanayo kwa jina langu, wakaitia unajisi.

Kusoma sura kamili Yeremia 7

Mtazamo Yeremia 7:30 katika mazingira