Yeremia 8:12 BHN

12 Je, waliona aibu walipotenda machukizo hayo?La hasha! Hawakuona aibu hata kidogo.Hata hawajui kuona haya.Kwa hiyo, wataanguka pamoja na wale walioanguka;nitakapowaadhibu, wataangamia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:12 katika mazingira