17 “Basi nitawaleteeni nyoka;nyoka wenye sumu wasioweza kurogwa na walozi,nao watawauma nyinyi.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Kusoma sura kamili Yeremia 8
Mtazamo Yeremia 8:17 katika mazingira