16 Sauti za farasi wao zinasikika,kwa mlio wa farasi wao wa vita,nchi nzima inatetemeka.Wanafika na kuiharibu nchi na vyote vilivyomo,kuangamiza mji pamoja na wote waishio humo.
Kusoma sura kamili Yeremia 8
Mtazamo Yeremia 8:16 katika mazingira