Yeremia 8:4 BHN

4 “Wewe Yeremia utawaambiakuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Mtu akianguka, je hainuki tena?Mtu akipotea, je, hairudii tena njia yake?

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:4 katika mazingira