Yeremia 9:1 BHN

1 Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji,na macho yangekuwa chemchemi ya machoziili nipate kulia mchana na usiku,kwa ajili ya watu wangu waliouawa!

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:1 katika mazingira