Yeremia 9:2 BHN

2 Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani,ambamo ningewaacha watu wangu na kwenda zangu.”Mwenyezi-Mungu asema:“Wote ni watu wazinzi,ni genge la watu wahaini.

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:2 katika mazingira