3 Hupinda maneno yao kama pinde;wameimarika kwa uongo na si kwa haki.Huendelea kutoka uovu hata uovu,wala hawanitambui mimi.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Kusoma sura kamili Yeremia 9
Mtazamo Yeremia 9:3 katika mazingira