Yeremia 9:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu akajibu: “Kwa kuwa wamekataa kushika sheria yangu niliyowapa, wamekataa kutii sauti yangu na kufuata matakwa yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:13 katika mazingira