Yeremia 9:12 BHN

12 Nami nikauliza, “Je kuna mtu mwenye hekima kiasi cha kuweza kueleza mambo haya? Mwenyezi-Mungu aliongea na nani hata huyo aweze kutangaza kitu hicho? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa tupu kama jangwa hata hakuna mtu apitaye humo?”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:12 katika mazingira