Yeremia 9:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu asema:“Nitaifanya Yerusalemu magofu matupu,naam, nitaifanya kuwa pango la mbweha;na miji ya Yuda nitaifanya kuwa jangwa,mahali pasipokaliwa na mtu yeyote.”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:11 katika mazingira