Yeremia 9:10 BHN

10 Nitaililia na kuiomboleza milima;nitayaombolezea malisho nyikani,kwa sababu yamekauka kabisa,hakuna mtu apitaye mahali hapo.Hakusikiki tena sauti za ng'ombe;ndege na wanyama wamekimbia na kutoweka.

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:10 katika mazingira