Yeremia 9:18 BHN

18 Waambieni: ‘Njoni hima mkaomboleze juu yetu,macho yetu yapate kuchuruzika machozi,na kope zetu zibubujike machozi kama maji.’”

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:18 katika mazingira