Yeremia 9:19 BHN

19 Kilio kinasikika Siyoni:“Tumeangamia kabisa!Tumeaibishwa kabisa!Lazima tuiache nchi yetu,maana nyumba zetu zimebomolewa!

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:19 katika mazingira