Yeremia 9:20 BHN

20 Enyi wanawake, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu!Tegeni masikio msikie jambo analosema.Wafundisheni binti zenu kuomboleza,na jirani zenu wimbo wa maziko:

Kusoma sura kamili Yeremia 9

Mtazamo Yeremia 9:20 katika mazingira