6 Wanarundika dhuluma juu ya dhuluma,na udanganyifu juu ya udanganyifu.Wanakataa kunitambua mimi.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Kusoma sura kamili Yeremia 9
Mtazamo Yeremia 9:6 katika mazingira