5 Kila mmoja humdanganya jirani yake,hakuna hata mmoja asemaye ukweli.Wamezifundisha ndimi zao kusema uongo;hutenda uovu kiasi cha kushindwa kabisa kutubu.
Kusoma sura kamili Yeremia 9
Mtazamo Yeremia 9:5 katika mazingira