Yeremia 50:32 BHN

32 Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka,wala hapatakuwa na mtu wa kumwinua.Nitawasha moto katika miji yake,nao utateketeza kila kitu kandokando yake.”

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:32 katika mazingira