Yeremia 50:33 BHN

33 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Watu wa Israeli wanakandamizwa; hali kadhalika na watu wa Yuda. Wale waliowachukua mateka wamewabana sana na wanakataa kuwaachia.

Kusoma sura kamili Yeremia 50

Mtazamo Yeremia 50:33 katika mazingira