Yeremia 8:6 BHN

6 Mimi nilisikiliza kwa makini,lakini wao hawakusema ukweli wowote.Hakuna mtu anayetubu uovu wake,wala kujiuliza; ‘Nimefanya nini?’Kila mmoja wao anashika njia yake,kama farasi akimbiliavyo moja kwa moja vitani.

Kusoma sura kamili Yeremia 8

Mtazamo Yeremia 8:6 katika mazingira